His long message is below;
"My dear Sister. This is how it always begins, we always start by losing our Authenticity and Identity and giving Excuses for it. Huku Kenya tulianza vivyo hivyo na Muziki wetu ukapotea😥😥😥. Wazungu wanasema "If it's not Broken, dont fix it!!" Bongo Fleva iko SAWAA kabisa na Hakuna haja ya kuwacha Bongo Fleva ati Kwa ajili ya ku "Diversify". Amapiano ni Basi🚎 tu linalopita ila sisi tukiipanda bila kujua kinaenda wapi basi tutashindwa kurudi nyumbani. Tutakua tunauza sera zao na Tamaduni zao na Kuua chetu. Unapoimba "Sukari" in that Sweet Authentic Bongo Tone and Beat, what you are basically doing ni Kuinua Taifa na Bendera ya Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 and WE LOVE IT SOO MUCH and we are PROUD of it. Lakini when you Continually replace that Bongo Sound na Amapiano baada ya Mda tutakua tumejipoteza. Trust me, this happened to Kenyan music🇰🇪, I am Speaking from Experience. Msalimu sanaa Kakangu na Wana WCB Wote waambie Nawapenda. Naja Dar January nitawaalika show yangu hapo Mlimani City😊😊"
Kenyan celebs who are heavily involved in charitable projects