Whats the worst thing your ex ever did to you? Kenyans have shared their experiences and some of the responses make you wonder if they were under a spell.

Some Kenyans confessed to having spent lots of cash only to be dumped at the last minute.

‘My sponsors sends me 100K per month and I don’t sleep with them’ Jane

Below are their narrations.

Caroline Kinuthia: Nilibuyia that idiot clothes from kiatu hadi cap…worth 10k on his birthday.
That very weekend he didn’t turn up then nikapatana na post fb….amepigwa picha kwa nyumba ya dame …Kisha dame amecomment.
I love you more that way babe…..saaaaaaaaitan! Machooooos.
Irene Mutevu: He almost killed me, AF kuleta wanawake wengine kwa nyumba nikiwa naye. Niwaondokee bed walale. Jamo, mahali ulipo may God deal with you.
Senje Nekesa: That man…I hate him like no one’s business, nimeenda kumtembelea, nadoz huko keshoye ananiambia anaenda chuo kufika jioni ananisho harudi.
In the morning nikaona dem ameweka Facebook eti finally at home with my one and only.
The worst part walikua na the so called father in-law.
I assumed sijaona but nikascreenshot na kusave photos, in the evening that bitch came, kufika kikanikiss na kunibeba eti kinataka.
Nikapretend naendea maji, nilikiweka nyundo karibu kikufe, mbio nilienda hata nikasahau viatu, I thank God hakikukufa.
Jacy Adams: Hehe he lied to me yeye ni wa GSU kumbe ni house boy…may thunder strike you but good things nlikuwa na wengine watatu kwake nlikuwa nasongesha time tuu.
Blessd Bonie: Niliishi kumlipia nyumba Kayole na sikuwai eda kumbe ghasia inakaa na kijamaa.
Siku ingine akaniitsha doh atoe bol 5k then later dem beste yake akaniambia ata bol haikuanga yangu na 5k zlieda ivo plus shopping ya mwezi.
Manzi Wa Mukurweini: Kumtumia pesa nikiwa Gulf anaenda kukunywa na mschina kila weekend na car hire za self drive.
Alivutwa job naskia siku hizi anafanya kazi ya kubebea watu mzigo na trolley tao…mtu alikua job kwa insurance.

Read more

 

MPASHO TV