'Unawezakufa kwa pressure,' Fans react to Ali Kiba's wife after cryptic message

Piece by: Queen Serem
Lifestyle

Amina Khalef, wife to singer Ali Kiba has shared a cryptic message that has left fans speculating that her marriage might be on the rocks. Again.

"Ukiwa na msimamo usishangae kuambiwa una kiburi na unaringa, maana mjinga hawezi kutofautiha kati ya msimamo na kiburi..."

(When You know where you stand, Don't be suprised to be told you have pride because fools dont know how to differentiate between you stand and pride.)

Fans seemed concerned wondering whether they have more marriage problems. Check out their reaction;

nasrainternationa

Video ya Nandy imeshaleta balaaa tena huku jamani eeh

edsonkavan

@aileenalora Dada angu umeona mtihani wa kuolewa na msaniii yaan umeweza kufa kwa pressure

baloz_wa_kuchamba

Na usijeanza kufuta picha za kaka hukawii ww

_lushlash

Wehh bongo shikamoo yaani kila kitu its about men.... its a relatable post not vijembe

bosschick_beib562

😂😂😂😂😂 inatia huruma jamani ila zoea ni mazingira ya kazi😂😂

tawaqally

Sawa shemeji mi nimekuelewa🙌🙌🙌

tymer_95

Wifi kuna nn tena, mbona tunatishana😂😂😂

angel.muutamu

AMINA KWANI TUMEKUKOSEA NINI😂😂😂

bazo_kash

Ndoa ipo matatanii😂😂😂 Wajumbe

anetdinny

Watz mko na maneno hata kusoma mkaelewa nishida hii post hata haiendani na maneno mnayo sema mara nandy na kiba hata haihusu video nyinyi mnapenda kugombanisha

hap___happy

Mi nilijua tu ata uwe ngangari Kama chuma huwezi vumilia mumeo akojozwe live

zainat_123

Post ya wifi ni tofauti na wajumbe walivyowaza..huyu dada ni muelewa ndomaana alikubali kuolewa na msanii💪

officialneishazy

Kiba atajuta kwann alifanya video na nandy daaah ukiwa mume wa mwanamuziki inabidi ufumbe macho usione chochote mn. Ww ulimpenda sababu unajua kazi ya mumeo Sasa ukianza ushwahili kama wa zari shoga unakosea alfu mumeo sio mtu wa uswahili acha izi habari kabisa

mulardboy

Mtumeee kwema uko au usharudi tena mombasa kigagula akaja tabata