Size 8 and DJ Mo

DJ Mo and Size 8 are a funny couple. The two always leave their fans entertained with photos and videos they post online.

Also read;

‘Don’t come to bed like that!’ Size 8 begs hubby DJ Mo to take a shower

The disc jockey shared a photo holding Size 8 by the neck and captioned it,

Mapenzi ni kuNyonga kabisa 😂😂😂😂@size8reborn 😂

Size 8 and DJ Mo

Below is the photo

The post ignited mixed reactions among their fans and here is what some had to say;

deejaykalonje Wengine wananyonga monkey afadhali wewe 😂.

abade_254 Eih😂aliitisha “choke me dazadzy “at the wrong place 😂😂😂.

attenuatedthuglife Bakisha utamu wa usiku😂.

jfamkenya @hopekidhk umeskia??? Mapenzi ni nini???? ENDELEA KUNYONGA pia wewe bro😂😂.

Also read;

Anajua kupeana lipunda! Size 8’s hubby DJ Mo confesses he’s a bedroom bully

Lisah Nimo Ukisema kunyonga una confuse watu wa kunyonga monkey.

churchill_arts next time choose the word wisely. Some people misread things, from the visual to the word.

Shatta Bundle Unanyonga chuma ya doshi hadi Size 8 😝😝.

wickyhappymaker Waa.. Usinyonge jukwaa rungu tafuta wale wazee 7:00.

faith_koki Sasa Unataka kumuua😂😂😂😂.

Mamake Phoebe Nothing is sweet than marrying a partner you can joke around with.

tatianamathondo Wacha kubully mama wambo wetu.

Nelly Ďêê Hii corona itatuonyesha maneno……hadi mnanyongana waaah.

Angela Mumbua Nyonga monkey kabisa msee…. Quarantine vitukos.

Aldes Livaha Lakini size 8 pia anatuangusha. Ukishikwa hivo manze cheza na facial expression sexy ivi.

Judith Awyno Tumia doshi kunyonga mtu.

Shiro Gichuki Nyonga kabisa ni wako 😂😂😂.

Vanny Evance Hapo ni ukweli DJ Mo. Lakini saa hi tuko ushago hakuna arimis, inabidi tumenyonga na kinyesi fresh ya ngombe.

Nicky Stano Inakaa we Dj MO huwa Unanyonga monkey mbele ya Size 8.

Humphrey Boge Ni Mali yako, nyonga kabisa

Lee Shi Shiveka Hiiii quarantine!!!! …unaona movie mbili za DJ Afro …..unainuka ukiwa stero unaanza kunyonga ….frissss ….chukua masahani ugongeshe kwa meza achana na size 5+3 ya kuwithdraw.

Nimmoh Denash Kwani unanyonga shingo nyonga na 🍆🍆.

Younisse Sam Knowledge ya kunyonga monkey ndio unaaply.

Also read;

Nyonga kibaiskeli! Size 8 and DJ Mo’s dance wow Kenyans

MPASHO TV