Zari Hassan has told off social media haters who look at her lifestyle and term it as fake.

She took to Instagram to say that she posts what she posts since its how she lives on her day to day life.

Kwa sababu maisha ya watu wengine hayapo kama yakwako haimaanishi wanaishi kwa kujionyesha au haimaanishi kuwa sio maisha yao halisi.
Napiga picha ofisini kwangu sababu ndio eneo ambalo nafanyia kazi, siwezi piga picha sokoni nauza nyanya au kwenye korido za hospitali nijifanye ni daktari wakati sio. Napiga picha nyumbani kwangu sababu ndio sehemu ninayoishi, siwezi kujivunia kwenye hoteli au kwa kupiga picha kwenye nyumba ambayo haina muonekano mzuri kwa lengo la kukuridhisha wewe ambae unaishi kwenye nyumba hizo.

Haya ni maisha yangu, aina ya maisha ambayo nimeyajenga mwenyewe na familia. Siwezi endesha baisikeli ili kukuridhisha wewe, hapana itakuwa ni kujidanganya.

Adding;

Nitaendesha gari ambalo nimenunua kwaajili ya kwenda nalo kazini au mahali pengine.
Kuna watu wanamiliki ndege binafsi, ni aina ya maisha yao waliyo jitengenezea.
Mimi ni nani niwahukumu eti kwa sababu tu usafiri wao ni ndege binafsi, au first class.

She went on to ask people to work hard to get the kind of lifestyle they want to have instead of picking on other people’s lives.

Sio kwamba ni maisha feki au kujionyesha, Bali ni style ya maisha ambayo nimeyapambania na nimeyapata sio kirahisi, bali ni kwa muda mrefu kidogo.
Sisi sote tuna masaa 24 katika siku. Tumia muda wako kwa vizuri

Cat fight alert! ‘I bought my car without top up,’ Hamisa mercilessly shades Zari

MPASHO TV