Singer Mbosso is mourning the death of his Kenyan fan Mzee Jazino.  The senior citizen who hails from Lamu, was Mbosso’s die-hard fan and had been spending time together with the singer in Lamu.

Taking to his Instagram, Mbosso mourned in an emotional message

Mwenyezi Mungu amenipa bahatia ya kuwa na Mashabiki wengi sana wa rika tofauti tofauti , ila kupata Mashabiki wenye Umri zaidi Ya Baba Yangu au Babu yangu ni bahati kubwa na ya Kipekee Sana Kwangu ..

Kupitia Wewe Ulifanya Wimbo wangu wa Shilingi Kuwa wimbo namba Moja Kisiwani Lamu Kenya🇰🇪 na Ukawafanya Viongozi na Wananchi Wa Kisiwa Cha Lamu Kenya🇰🇪 wakawa Mashabiki Wangu Wakubwa sana .. Ulikuwa zaidi Ya Shabiki Kwangu .. ulikuwa Kama Mzazi wangu ..

Nimeumia sana Leo Mzee Wangu @lamu_confuse umeniacha ..
Mwenyezi Mungu akupe Kauli thabiti , Akuweke Kwenye Pepo Yake ya Firdausi kwa baraka zake na huruma yake Inshaallah na akusamehe makosa yote Inshaallah Maana Yeye ni Mwingi wa huruma na mwenye kusamehe

Pumzika kwa Amani Mzee Wangu wa Shilingi Ya ng’ara ng’ara
“Lamu Confuse @lamu_confuse 💔😭

“Mzee wa Nipepee alitangulia .. na Wewe Umemfatia
“Innalillah Wainnailah Raajuun 

May he rest in peace.

‘Ugonjwa wa kutetemeka,’ Mbosso comes clean about his mysterious illness

MPASHO TV