Ni mambo moto sana!! Diamond Platnumz will perform LIVE in Kenya on 31st December #ChromeInvasionNYBash

Piece by: Random Like Arum
Lifestyle

Habari ndio hiyo na habari ni kubwa. Naseeb Abdul Juma AKA Diamond Platnumz (or simply Diamond) ana come. Hatukuamini until we saw it. Hitmaker mzito anafika Kenya na ata spend his New Year's Eve pamoja na wananchi.

Usijifiche mse ...nduru ya Diamond Platnumz ni lazzima!!!

Ngomma zake ni noma plus ako na demand kibao. Hata saa hii, kila mtu anadai kumcheki ...he's the biggest in East Africa. The most loved artist from Tanzania he has big plans for the mafans. Raundi hii, New Year's Eve itakuwa ni fyam!