A currency dealer counts Kenya shillings at a money exchange counter in Nairobi . /The Star
A currency dealer counts Kenya shillings at a money exchange counter in Nairobi . /The Star

If you ever lend or loan a friend, family member or anyone close to you money, my dear brother or sister, do not expect to be paid back. They (debtors) will always come up with stories which don’t add up.

Image result for gifs annoyed

They will take you in circles and finally, you’ll give up.

From Sharing Photos Of The Dead To Abusing The Bereaved, Here Are The Most Annoying Behaviours Of Kenyans Which Should Stop

Below is a compilation of extremely annoying excuses given by Kenyans, who owe you money anytime you try to reach out to them, go through

  1. Kuna pahali pesa zangu zimekwama nangoja next week

2. Nangojea cheque i mature

3. Niko meeting

4. Kiasi will Mpesa shortly

5. Nivumilie pale mahali

6. Nimekuwa nikishindwa nitakwambia nini aki

7. Naelekea mpesa kukutumia

8. Kuna doo nangoja then nikutumie

9. Penye niko hakuna Mpesa karibu

10. Ebu nikucall

11. Niko kwa Mat na iko na kelele mob nitakucall nikishuka

12. Woi!haujapata?Ni kama nimetuma kwa wrong number. Hebu nipigie Safaricom saa hii

13. Simu imeisha moto,wacha nikupigie baadaye!

14. Hata Kenya ina deni tulia

15. Si uwache nikuongeleshe kesho

16. Msee flani aniekee, nipatie ten minutes

17. Sikuskii poa network hiko na shida

Also, read:

Mna Ujinga Sana! Here Are The Most Annoying Habits Of Kenyan Celebs

18. Phone iko almost kuzima

19. Mpesa yangu iko na issues aki

20. Kuna dooh nategea mahali

21. Chama ni sato Mimi Ndio napewa

22. Nakutumia kesho

23. Niko kwa mazishi

24. Nilikua nimegarantee mtu loan so pesa yangu imekua held up…nitakusort wakiachilia

25. I will refund next week

26. Pole contacts zangu zililost nakutumia tu saa hii

27. Ngojea 5 minutes naenda mpesa.

28. I’m driving lemme get back.

29. Check haijareflect

30. Kuna msee flani Ni msick that’s why sijakusort bado

31. Ata nilikua nataka kukupigia tu saa hii

32. Are the above excuses familiar? How dod you deal with such people?

33.Ati ati nini unasema nini! Hii simu yangu haiko poa earpiece imeharibika

34. Simu yangu ilipotea namba zote zikapotea,nilinunua sim card ingine,saa izo umeblokiwa

35. Najua kwa nini unapiga Leo haitaisha kama sjakutumia

36.  Kata nikupigie

MPASHO TV