The entire Tanzanian media industry is mourning the passing on of talented EFM radio presenter Seth Katende popularly known as Bikira wa Kisukuma.

Bikira wa Kisukuma

The late who also a comedian, writer, and digital marketer was a role model to many youths across the East African region died yesterday at Muhimbili National Hospital after a short illness.

“Kwa masikitoko makubwa E FM inapenda kuwajulisha kuwa mwenzetu Seth Katende maarufu” Bikira wa kisukuma”amefariki dunia Leo mchana katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kuugua kwa muda mfupi.Seth atakumbukwa sana kwa ucheshi wake kupitia kipindi cha Ubaoni alichokua akiendesha sambamba na Imma Kapanga na Mpoki au “mwarabu wa Dubai”.Msiba upo nyumbani kwa baba yake mzazi Changanyikeni Dar es salaam.Endelea kupitia kurasa zetu na kusikiliza Efm na TVE kwa taarifa zaidi. Mungua ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi Amen,” read a message on EFM’s official Instagram account.

The father of one was hospitalized a week ago and after leaving the ICU, he posted a photo of him and his daughter which was the last family pic he shared.

Screenshot_from_2017-07-10_08_59_28

Many are still shocked following Bikira wa Kisukuma’s sudden demise and Diamond Platnumz has led mourners in mourning the late influential media personality.

“Rest in Paradise Bro… my condolences to your family and @efmtanzania ✊”

Sassy singer Ruby who was also a close friend to Bikira wa Kisukuma, is mourning him and has shared screenshots of their last conversation.

Bikira wa Kisukuma

 

“Leo ndio naamini life is too short tunaishi kwa neema tu,leo ndio naamini dunia duara,@ bikirawakisukuma siamini unaniliza now ??????eehh Mungu fanya ata miujiza mbona ulimfufua lazaro?! Mungu huyu bado kijana mdogo jaman skulaumu ila mbona bado tunampenda ?…sethi popote ulipo najua unaniskia naumia zaidi coz uliniita hospita kabla hujaondoka but I couldn’t make it majukumu yalinizidi but am here saying sorry and I pray for u to have peace forever till we meet again ???❤️ REST IN PARADISE….am speechless sethiiiii “

Here are more messages of condolences to Bikira wa Kisukuma’s family

Kayula: Hii ni pole kwa ss sote wapenzi wa Efm & Etv, hakika Mungu ndo kila kitu, R. I. P BROTHER

Thadey: Pumzika kwa amani

Timesfmtz: Uongozi wa Times 100.5 FM unatoa pole kwa familia ya Seth Katende (Bikira wa Kisukuma) Mtangazaji wa @efmtanzania Pamoja na @tvetanzania Katika Kipindi Hiki Kigumu Kwa Kumpoteza Mwanafamilia Mwenzetu.

Pole Kwa #EFM & #ETV, Mungu Awasimamie, Awaongoze na Kuzidi Kuwatia Nguvu Katika Msiba Huu.

Mungu Ailaze Roho ya Marehemu Mahali Pema Peponi.

Bwana Alitoa na Bwana Ametwaa, Jina lake Lihimidiwe.
Ibrahim: Poleni sana family efm na tvE ninachokiomba mm tuludi kwa mungu maana leo bikila kesho mm au wakitenge.

Ommy Dimpoz:

Juma: RIP Bikira wa Kisukuma hakika tutakukumbuka daima umeacha pengo kubwa sana kwenye kipindi cha ubaoni nenda salama kaka mbele yako Yuma yetu

Cloudsfm: Sisi ( #CloudsMediaGroup ) tunatoa pole kwa ndugu zetu wa #EFM kufuatia msiba mzito mwanahabari mwenzetu Seth Katende ( #BikiraWaKisukuma ). Sala na dua zetu ziko pamoja na #EFM, #ETV, familia pamoja na ndugu na jamaa wa Marehemu Seth.

Mwenyezi Mungu Mtukufu aiweke roho ya marehemu mahali pepa peponi.

MPASHO TV