Nairobians narrated their experiences with tears in their eyes. Read some of their reactions.
dkeydickson: Waliniosha 2500 yangu hapo Ronald ngala Street, nilitembea hadi kahawa sukari.
gigimaks: Nikikumbuka venye pesa ya mafuta taa ilienda na hii kitu...nguvu inaniishia...war nilionwa na mathe...usitake jua aki...never ever again...
iam.delvin: mimi kuna siku mnekulwa pale eastleigh kwa airforce weeh nlilia sigwesi jaribu tena.
wangoi_wambogo: Don't remind me of this thingnilikuliwa 4k.
afrikafelix: Stay dangerous stay taliban.
bephineogutu: Hawa watu walibeba pesa yangu ufuuu!! Nikabaki nikijiuliza Hawa watu walijuaje Niko na pesa. Nilikuwa nasimamisha watu kwa njia kuuliza kama hao pia wamenyang'anywa pesa.
ne_lsoni: Kwanza pale river road.
s.p.o.n.y.o___: Ya kwanza usiposhinda Maisha yako iko na kasoro pahali.
Why street model Lupita NyaKisumo has left Nairobians mesmerized