Former Miss Tanzania and Diamond Platnumz' ex girlfriend Wema Sepetu has said she feels sad that she is not able to sire a child.

This she revealed as she was congratulating Harmonize's ex girlfriend Jacqueline Wolper, who is currently expectant.

Wema said she is happy for Wolper, but sad for herself adding that at first, she couldn't believe the news of the pregnancy.

Nilivyosikia kwa mara ya kwanza nikawa kama siamini amini... Kwakua ni mengi huwa tunaongeaga na hatufichani basi katika maongezi yetu ya hapa na pale nikaamua kukuuliza kama swali la kizushi & nakumbuka ulinikatalia... Basi karoho kangu kakatulia na kupoa... Maana nikaona , "Hee, Mzee mwenzangu tena mambo gani haya anataka kuniacha peke yangu kwenye hili kundi tena jamani..." 🤦🏼‍♀️🤦🏼‍♀️😂😂🤦🏼‍♀️🤦🏼‍♀️

She added that she now understands why Wolper kept her pregnancy a secret, yet she and Wema are bossom buddies.

Sasa ilipofikia point maneno yakawa mengi kuhusu tumbo... Nikarudi tena kwa mara ya pili sasa nikiwa sina uhakika saana na majibu yako maana kwanza ulipotea, ukawa hata kwenye shughuli sikuoni so kama mtu mzima nikaunganisha Dots na pia nilikuelewa saana dhumuni la kufanya siri... Wivu ulikuwepo kwa saana ila pia niliamini kuwa Mungu kweli anakupa kwa wakati na nikawa sooo happy & excited for you..

Wema added

Baada ya kusikia umejifungua na nilivyokupa hongera na ukasema Asante kamoyo kalichoma kama pasi nikijua sasa ni kweli nimeachwa mwenyewe ila ukanipigia mstari ile kauli ya "Wakati wa Mungu" na kwa namna moja au nyingine nikapata Faraja kidogo kutokana na maneno mengi mazuri ulioniambia...Leo hii unaitwa Mama my Love... Umepata furaha yako ya Ukweli... Naomba Mungu akakukuuzie kipenzi cha roho yako vyema na afya thabiti... I cannot wait to see his cute little self.... Mashallah... Hongera nyingi sana zije kwenu Mommy P & Daddy P.... Allah Barik...

In conclusion Wema added

I am Extremely Happy for you two... Tumachozi sasa.... Natufuta kwa mbali... 🥺🥺🥺.

Read more