It's a sad day for WCB Wasafi after Diamond Platnumz' manager Babu Tale lost his wife Shammy.

The mother of three passed away on June 28, Sunday morning.

Also read;

Below are her photos

Diamond's mother Sandra Kassim joined fans of Babu Tale in condoling him and his family and below is her message,

#WasafiMedia Tunatoa pole kwa Familia ya Ndugu yetu Hamisi Talee katika Kipindi hiki kigumu , na kumuombea kwa Mungu ampe nguvu na ahueni. Innalilah wainailaihi Rajiuun 🙏

Check out more messages of condolences from his fans

ricardomomo Kila nafsi itaonja mauti. Na bila ya shaka tutapewa ujira wetu kamili Siku ya Kiyama Na atakaye epushwa na Moto na akatiwa Peponi basi huyo amefuzu Na maisha ya dunia si kitu ila ni starehe ya udanganyifu...!!

Prisca Joshua Mwenyenzi Mungu ampunguzie adhabu ya kaburi

Rita Marko Mungu amlaze mahal pema pepon🙏🙏

Warioba Amina Nsagali

Pole babu

Isaleem Pole sana kaka @babutale mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu..

habbty_hami Oooh jaman pole sana pumzika kwa amani Dada mpenzi

officialollystar1 Rest In Soul Peace 🙏 thedijacutee Polee Sana #babutale kwa kupoteza mkeo mungu akutie wepes katika kpndi hiki kigumu Mungu ampunguzie ya kabri

juma mbalu Natoa pole kwa Familia ya Ndugu Hamis Taletale na timu yake yote ya WCB WASAFI katika Kipindi hiki kigumu, na kumuombea kwa Mungu ampe nguvu na afueni

pretty__aucha Innalillah wainna illahi rajiun allah amsameh makosa yake na alitie nuru kaburi lake Allahuma Amiin yarrabi

lattie_tee Allah ampe kauli thabit😭😭jmn kifo kinatisha😭😭

9585m.ary Poleni sanaa may her soul rest in peace🙏