Habari ndio hiyo na habari ni kubwa. Naseeb Abdul Juma AKA Diamond Platnumz (or simply Diamond) ana come. Hatukuamini until we saw it. Hitmaker mzito anafika Kenya na ata spend his New Year's Eve pamoja na wananchi.
Usijifiche mse ...nduru ya Diamond Platnumz ni lazzima!!!
Ngomma zake ni noma plus ako na demand kibao. Hata saa hii, kila mtu anadai kumcheki ...he's the biggest in East Africa. The most loved artist from Tanzania he has big plans for the mafans. Raundi hii, New Year's Eve itakuwa ni fyam!
Watch: Kenya doesnt have beautiful women - TZ ladies scoff