Lady Jaydee mother burial

In the morning of April 26th, Lady Jaydee lost her mother. The songstress’ mother Martha Mbibo succumbed to death in Dar Es Salaam after battling cancer for a long time.

She had been admitted to Muhimbili National Hospital before being discharged after feeling better. Until her death, the late was being attended to at her home.

“Kila nafsi itaonja mauti, huyo mwenye Ndala yake ambayo wewe mtazamaji utaizoom na kuiongelea na wewe mwenye smartphone pia ๐Ÿ™Š” Jadee wrote

Lady Jaydee
Lady Jaydee at her mother’s burial

During the preparation of the funeral, the Siku Hazigandi hitmaker took to social media to appreciate her family and friends for the support.

“Napenda kutoa shukrani zangu za dhati sana kwa ndugu jamaa na marafiki wote mliohudhuria msiba wa mama yangu mzazi Martha Mbibo
โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”
Kuwashukuru mmoja mmoja ni ngumu na haitowezekana kwani mmejitoa kwa hali na mali kuhakikisha bi mkubwa anapewa heshma yake , lakini niwashukuru baadhi kwa majina โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”
Kwa kuanza nishukuru Media zote za Tanzania kwa kumpatia Mama heshma , niwashukuru watu wa kanisa la Wa Adventista wa Sabato kwa kutufariji pamoja na Choir….
Majirani zake Mama Kigilagila-Kiwalani na familia yangu na ukoo wangu kwa ujumla , kwani tumepambana wote kumuuguza Mama.
โค๏ธ๐ŸŒน๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ™๐Ÿฝ๐ŸŒนโค๏ธ
โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”
My friends and my sisters wa miaka na miaka Bahati Monyo , @nitadaigle @mc_linah @8020fashions , Maryam Lweno , @khadijamwanamboka โค๏ธโค๏ธโค๏ธ Da Joy ๐Ÿ™๐Ÿฝโ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”
Pamoja na kuumwa mguu bado ulikuja kulala na mimi @shyrosebhanji love you 100%|
Mkuu wa Kamati @cathymagige |
Na forever matron @monfinance maana ujue hata nikiolewa magharibi bado utakuwa tu Matron eeeh , jipange|
โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”
@princedullysykes @aytanzania @paulmakonda @mwanafa @bushokeruta @lemutuz_superbrand @daudimambya72_ @edwardurio , Octa , @supermunthali , Dorah Raymond na wengine ambao sijawataja. โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”
Mama ana watu wake pia wengi tu na wamemsindikiza, na wengine hata siwafahamu ila nashukuru ๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ™๐Ÿฝ
Nitaendelea kushukuru kwa picha kesho na siku za mbeleni. Mbarikiwe.”

Lady Jaydee

Nani Amecheswaa? Lady Jaydee Ditches Ali Kiba For Kenyan Record Label, Taurus Muzik

After the burial, she took to social media to urge fans not to judge her whenever they see her working immediately after her mother’s death.

She wrote:

“Tumemaliza kuzika salama nashukuru, Maziko yamefanyika kijiji cha Manyamanyama, Wilaya ya Bunda , Mkoa wa Mara|
Na hii ndio picha ya mwisho kwenye page yangu kuhusu msiba, maisha mengine lazima yaendelee|
Picha zilizobakia nita post kwaajili ya ndugu jamaa na marafiki kuona kama wakipenda
โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”-
Niwashukuru tena Mzee wangu Chacha Mwita Gachuma ๐Ÿ™๐Ÿฝ kwakuwa na mimi siku zote za shida na raha|
Rafiki Anthony Diallo|
Na familia/ Ukoo wa watu wetu kijijini wote waliohudhuria |
Mzee Stephen Wasira hivi nimshukuru?? Kwakuwa yuko kwenye picha tu ila yeye ni family na kila alilofanya ni jukumu lake kama baba angu.
โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”
Sisi huwa hatuna 40 , kwahiyo msiba umeisha rasmi ๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ™๐Ÿฝ
Asanteni na poleni wote mlioguswa |
Msinione kazini mkaanza kuni judge|
#BingwaWaKujihami
#MarthaMbibo
#Mamaโค๏ธ
#YamekwishaRasmi
#KandaMaalum
Wauguzi wote Dar Group Hospital na Muhimbili ( DR. Deo) ๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ™๐Ÿฝ asanteni kwa kujaribu|
GBS Hospital Bangalore, India ๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ™๐Ÿฝ.”

Here are photos from the burial:

MPASHO TV