Lady Bee’s daughter is undoubtedly one of the cutest celebrity kids in Kenya. She recently graduated from South Eastern Kenya University.

Just yesterday, the “Nakiri” singer poured her heart out in a lengthy post that appreciated her young one.

Just check it out!

“This day was 🔥🔥🔥🔥 God is not a man His plans for each one of us no one can stop🙏 I’ve come to understand that no one is a mistake,unworthy,useless no one God sees the weak as strong,the sick healed,the dead alive in Him,the poor rich🙌🙌So today I want to encourage all the single mothers out there never let your condition take away your dignity,your pride and usiwe desperate hakuna kitu ama shida itadumu milele,kama ni Yvonne Toto @forever__yvonne wangu amekua ivi leo aki wee jua Mungu anamipango yakila mtu kwa hii dunia na hakuna mtu future yake iko kwa mikono ya mwanadamu yoyote future iko kwa Mikono ya Muumba wetu AMEN🙏

Lady Bee’s Daughter Is All Grown And Very Beautiful! She Accompanies Her Mum To Work (Photo)

Leo inanibamba deadly kujua Mimi si Mungu ama Wewe sio Mungu ubaki the same👂 Mungu tuu pekee yake ndie habadiliki,lakini Wewe na Mimi lazima Yeye asie badilika abadilishe maisha yetu na lazima tubadilike ata chali amekuacha mambo itabadilika,amekataa mtoi mambo itabadililika ama pia amedie kama mimi Babake alidie akiwa baado mdogo na unaona leo kwa nguvu zake Yeye asie badilika,Yeye alie na mipango yetu amebadilisha halleluyaaaaah🙌🙌🙌 Be strong,believe usijiuze ulee mtoi God aonae kwa siri ile ugumu unapitia atakuvuta machozi🙌🙌🙌

Yvonne

MTOTO NI BARAKA ila usikubali kumpata inje ya ndoa👂utapata moto Usikubali kumpata inje ya ndoa haitakua poa🙏Ukiona story ya Jacob alilala na Leah asubui alikuta sie ule alikua anataka which means kama hangeanza na chini angeanza na juu,juu ni kufungua ile net a conform niyeye hageteseka vile aliteseka 😭😭so kila kosa ina malipo kama ulianguka amaka jipanguze na usirudie Mungu atakuletea Mume na maisha yako haitabaki the same,kama uko baado hujamarry na hujapata mtoto suburi God anaplan poa sana na Wewe😍😍😍Usiache kuomba Mungu anajibu mambi”

Yenyewe, kids are blessings! We do wish her the very best in her career!

More Stories

MPASHO TV