“Unajua uhusiano una changamoto nyingi sana lakini ninachoweza kushukuru ni kwamba leo hii mimba ya baby wangu ina zaidi ya miezi minne na Mungu akijaalia mwezi Desemba nitapata mtoto mwingine wa kiume, hayo mengine tuyaache. Unajua watu wanaongea sana hasa kwenye mitandao ya kijamii lakini sisi ni waelewa na hatuwezi kuwapa watu nafasi watuharibie.”

Which translates to:

You know relationships have a lot of issues. However, I am thankful my partner’s pregnancy is maturing by the day. It (pregnancy) is slightly past four months. If God allows, Zari and I will welcome our second baby together, a son, in December 2016. Let’s ignore the rumours, Social media users will not manage to divide my family.”

Source

MPASHO TV