Woman Crying

African mothers are the best. They play a great role in raising their children. They’re funny, disciplinarians and very strict.

Well, in this week’s Mpasho.co.ke we asked our fans what their mothers have ever told them when angry and the reactions were rib-cracking.

Also read;

From Victor Wanyama to Maina Kageni, meet Kenyan celebs with their mothers

Below are some of the reactions;

Linda Sulley Nilienda na beshte yangu home one day naalikua amenyoa nywele, alikua hawa madem  hawana anything inashow ni dem and my mum was like kwanini unaleta vijana kwangu😂😂😂

Kathy Dominic I wore a very open top and she was like ‘wauga umongithie’….”you have decided to breastfeed them”😂😂😂😂😂

Doreen Gacheri I would call her Mami, mami and she could reply ” Nyakwe’

Brian Nzomo Bringing a friend of mine who had dreadlocks to our house and she tells me” Endelea kuonyesha wezi mko na TV”.

Faith Muthoni I used to wear short then nafunga leso, siku moja nikaamua kufua na short bila kufunga leso. Nilisikia tu “Leo umeamua kuonyesha babako suruali” nilishtuka na tangia hiyo siku mimi na short ni stima na maji.

Actress Olivia Cheruto Mum will never believe the truth so its better u tell her a lie u will be best friends😂😂😂

Mary Njoroge 😄😄😄😄I used to come late at night aty “Utapata kile unatafutaga ucku tembea usiku kabsaa” mum you are always the best

Caroline Wairimu Nliabiwa unaeda wapi na ww si birthday cake ati nikikosa kweda haitafanyika ju hakuna cake

Gerald Murathe I believe this was said in kikuyu language

Asiko Pamela My sweater got lost, so was crying daily ,she buys ingine she told me”ww kwanza unabahati sana,Mimi bababgu alikuwa askari na sikuwahi kuvaa sweater,so usinistress,nilisoma na nikapass”kati ya ww n sweater nani anasoma “?

Lucy Ka Joy “Unaringa juu ya kumea matiti mbili,na dogi iko na twelve na huwa hairingi”

Adhis Adhis Nitaenda na baba yenu niwachie ii nyumba

Prince Calebfication Malizeni tu moto kwa radio Baba yenu akija mtamsomea taarifa

Eff Tyda I was chased away from sitting room at night juu ya simu..aliniambia anaonanga ni kama ata tunaongeanga na shetani.”nyonaga ta mwaragia nginya na ngoma wee”hahaha.

Maggie Olentiwasi Ueni kila kitu hadi mniue

Andera Nelson I once came late while I was in form 2 then when I knocked she told my sister fungulia bwana yangu amekuja hope amekuja na supper hahahahaha #mymummylove

Lilian Njagi My elder sister alishika kiboko akichapwa ….weee nakwambia aliitiwa family gathering ati anataka kuua mum….😂 How we miss you❤ continue resting in peace

Judith Wambui Naona umemea matiti sasa tuko wanawake wawili kwa nyumba na mmoja lazima ataenda🙄🙄

Also read;

‘My uncles and pastor raped me,’ brains behind Prezdent Kingston narrates tough upbringing

Precious Juliana Cyrus It was on a Sunday after church na Kama kawaida hakuna mtu hupenda kazi ya kitchen so I clicked after amenituma Sana wee she was like “umemea matiti Sasa umetosha kwenda na wanaume ata huwezi niskia” mind you house boy was around.sijawahi kuwa that embarrassed

Juliet Naserian Niliambiwa nisilete mimba nyumbani kama haina mwenyewe

Faith Wangari Me waking up at 9am Her: Umefufuka sasa??🙄🙄🙄🙄

Naitore Anthony Mkitolea wanaume meno kwa barabara munaona kama mumefika canaan😀

Wambui Njeri Umemea matiti unaona kaa tunatoshana

Josphat Koech Ati niletee maji ya kunywa.. Umesema nilete maji ya nini mum…. Ya kuoga …love you mum

Elizabeth Kanaiza Siku nitakufa mtakuwa mkiitika hata upepo ukivuma hamtaniona

Keey Cjay Hawa warembo wame-comment sai wengine wao ndio wanaangusha hii misemo kwa watoto zao.

Tasha Par Ukivunja sahani,anakwambia kujia hizi zingine kwa drowa uvunje zote

Also read;

Witchcraft? Diamond’s mother responds after forcing Tanasha’s son to wear charm

MPASHO TV