Kama Unangam Sheng', Basi Hii Asapa Itakuwahi #MbusiiNaLion

Piece by: Harun Momanyi
Entertainment

Do you love sheng and you want to be inspired to find your purpose? ...then read on. But put on your sheng caps on juu kutoka hii point, tunawahi lugha ya mtaani ndio point ijiseti na kakitu kasonge songo songo halafu ifike home.

Asapa iko stori real na lazima tutakuchapia.

Aisee, cha ukweli ni kwamba wengi wame kagusa lakini sio kama hawa ma gwiji wawili - Mbusii na Lion. Wanajitambua ma sufferer na ni ukweli. Hawana mbrrrrrr chaa!

Si unajua tu hapa Kenya ni kama pale jahmdown. Ukizaaliwa na kulelewa Kibera, Huruma, Kayole, Mathare, Umoja, Jericho, Ishich ...yaani pale mahali watu huita ghetto, basi unajua livety ni haard!

For those who don't understand what I'm saying, in a nutshell, it's difficult to rise from the ghetto and make it out to help and inspire the youth. But there a few who have done it.

The interview is as inpiring as it is hilarious. It's the story of Mbusii and Lion - currently presenters of the biggest and most listened to drive show in the country. They are considered the reggae kings. Watch

Oh, and one thing that stands out from this interview is definitely this: if you find your purpose and follow it, amazing things will happen. #BlazeKenya #FindYourPurpose