Why I Wished Death And Misery On Colonel Mustafa - Prezzo Speaks Out

Piece by: Grace Kerongo
Lifestyle

Prezzo opened the proverbial Pandora's box after his debut at KiSS FM's Breakfast With The Stars.

He spoke candidly to Adelle Onyango and Shaffie Weru about his woes from love to public beef with fellow rapper Colonel Mustafa.

"Wakikuponda na mawe, usiwe na wasi....ziifadhi kisha washangaze na nyumba utakayoporomosha #Rapcellency #GodsSon #TheMakiniTeam," Prezzo said on social media after his interview on Kiss FM.

Speaking to Mpasho after the interview, Prezzo couldn't help but send a message to his rival Colonel Mustafa. He was asked about Luwi who was recently in an accident and is still in hospital.

"I want to wish Luwi a quick recovery as he is a nice guy and a good friend of mine and he doesn't deserve it. In fact, someone like Mustafa deserves it. I wish it was Mustafa," Prezzo said.

This reaction comes after Mustafa who stars in Nairobi D went in on Prezzo.

He said,

"Sasa mimi namjua najua ni mtu wa aina gani. Mafans wake wanaweza kunichukia lakini mimi nitakiweka wazi yeye ni mtu wa aina gani. Huyo raisi wenu, President huyu Prezzo wa muziki huyu munamwita Prezzo. Ya! Tutajua nani baller, nani msenge. Halafu safari hii ni kifo cha Azonto k*ma la mamake kifo ni kifo tu!"

Prezzo addressed this on his Instagram.

"Cha kwanza jiulizeni nilimkosea nini huyu uncle Kalulu? Cha pili we ni Mpumbavu kwa kumtukana Mamangu. Ila ntakuweka kwa maombi. My brother Luwi I love u and I know ur strong, I'm also not worried coz Allah is in control so it shall be well.🙏#Rapcellency #TheMakiniTeam."

He continued, "Hii niliisoma na iliniuma sana. Hadi wa leo nakumbuka tarehe huyu taila alintukania mamangu mpendwa. So nilikuwa na interview juzi na @mpashogram nikafungua roho yangu kwa uchungu sana kwasaabu mamangu ni Mungu wangu wa pili. So uncle ukwaju, sijui uncle Mnato aliona ni jukumu lake kuntukania mamangu mpendwa. Kuna waloniingilia kuhusu nilichosema kwenye interview yangu waliponiuliza kumhusu huyu chakubimbi."

Adding, "On the real, I'd really like to take this moment to say....I am so so so apologetic to absolutely no one!!. Mamangu Ndio kila kitu Kwangu. Hakuna kalulu yeyote ana haki ya kumtukana. Bara letu la Africa linatufunza kuwaheshimu wazazi na wakubwa wetu so Mustapha tusi uliomtukana mamangu hata hivyo ni starehe ya babangu. Tafuta kiki kutoka kwangu mimi Prezzo na sio mamangu!!!#

Die hard Prezzo fans jumped to his defence!

bbmshepu_: Pole sana mama anauma kiukweli nilijuaga labda unamuonea kumbe yendo mkorofi pole sana

innocentdavid1: Pole saaana Prezzo, uyo jamaa namfananisha na jamaa tupo nae Tz anaitwa Ommy dimpoz. Mzazi aheshimiwe kamwe bifu tufanye sisi vijana sio tunaanza kuingiza wazazi. Colonel Mustapha ulitokea wapi unapomtukana mama au ndo kujifanya mmarekani? ???!!!!. TUMHESHIMU MAMA NA TUWAHESHIMU WAZAZI WETU. Imeniumiza saaaana

liliansnecki: Eeh! Nimekufeel...Yaani! Mtu kumtukana mama siyo vizuri kabsaa, mwanzo mimi nina chuki na huyo jamaa sana na huwa sielewi mbona...Kumbe ana tabia za kijinga sana huyo...Pole kwa hilo