Why I exposed my mother on social media- Diamond Platnumz

Piece by: Queen Serem
Entertainment

Diamond Platnumz recently wrote an open letter to his mother, asking her to accept all her grandchildren. Mama Diamond aka Mama Dangote has in the past had a bone to pick with Hamisa Mobetto and had not accepted Hamisa's child by Diamond.

The singer wrote this message for his mother on her birthday:

.....Katika Kusheherekea siku yako hii kuu ya kuzaliwa, ningeomba Pia, kama Unipendavyo Mwanao pia Uwapende wajukuu zako wote, kwani ni wadogo na Hawana hatia wala hawajui chochote...Najua wakati mwingine wazazi wao wanakukwazaga sana, kutokana na Issue zetu Binafsi za mimi na wao kukuingiza wewe ama kukuletea lawama wewe ilhali maskini ya Mungu hata napowatoaga hujui, unaonaga tu na wewe ghafla niko na flani.... na kwa umri nilofikia hata kama hupendezwi kias gani, ila huwezi nichapa viboko ama kunicontrol kuwa eti kwanini niko na fulani....hivyo ni kosa langu mimi binafsi ila wao wanatakaga kukupa lawama kama wewe jaji wa mahusiano yangu... ila kwa Upendo wako kwangu naomba Unisamehe mie kwani ndie Chanzo cha Hayo yote... na Uwapende Wajukuu zako wote kwani ni watoto na hawajui chochote.....Na wakukwazapo Wazazi wao Wakuwahukumu wao hata wakitumia ngao ya watoto kukukwaza.......Watu wa Mitandaoni watasheherekea na kuunda timu kwa faida za Mam za watotoila si kwa faida za watoto maana hakuna hata mkoja alowai nichangia hata ela ya pempaz kwanhawa watoto, na wakimaliza kuchonganisha familia yetu kupitia mitandao, wao wanarudi makwao kukaa na nafamilia zao huku weww wnakutengenezea matabaka katika familia yao.....Mama angu kipenzi familia nilokuletea Mwanao ni @deedaylan @princess_tiffah @princenillan , hao ndio familia yako tokea kwangu, na siku nikioa huyo ndio atakuwa mwengine kwenye Famiia..... Nakupenda sana na Nakutakia Maisha maref yenye furaha na Afya Tele Mama💕💖💕💖@mama_dangote💕💖💕💖

Well, Mama Dangote has finally accepted Hamisa's child after she received a cake from him during her birthday. This is proof that she has officially ended the long standing beef between her and video vixen Hamisa.