Funny characteristics of Kenyan women who go by these 45 names

Piece by: Caren Nyota
Lifestyle

Dear ladies, do you know the meaning of your first/ Christian name?

Below is a list of funny characteristics of Kenyan women with these names

1.Nancy - Muongo

2.Julieth - Kicheche

3.Mary- Anapenda mwanaume kwa kitambo kirefu

4.Precious - Anapenda kusikilizwa kuliko kusikiliza

5.Hellen - Ana busara anapozungumza na mpenzi wake

6.Rose- Anapenda mwanaume mwenye pesa

7.Eunice - Hapendi ndugu wa mume wakr

8. Agness- Ana upendo wa dhati na Akipenda kapenda

9.Pauline - Hana vigezo vya mwanaume anayemtaka

10.Catherine- Mbinafsi ktk mapenzi,anajijali pekee kuliko mpenzi wake

11.Mariam - Anapenda kuwa rafiki na mpenzi wake

12. Loveness - Akitendwa anachukia mapenzi kwa muda mrefu

13.Monica - Anajivunia mpenzi wake popote

14.Mellisa - Hapendi kuonyesha huzuni kwa mpenzi wake hta kama amekereka

15.Elizabeth - Hapendi kujihusisha na mahusiano

16.Emmy - mtaalamu wa kutongozea marafiki zao(kuwadi)

17.Frida - Anapenda sifa kwa wanaume

18.Theresa - Mvumilivu ktk mapenzi

19.Eve - Hana mwanaume maalum,

20.Hilda - Muumiza mioyo ya wanaume wengi

21.Jackline - Ni mlipiza visasi

22.Lydia - Anampenda mtu ili apate/Afanikiwe kitu flani(Malawi binafc)

23.Carol - Ni Muongo kupitiliza na still anaaminika

24.Josephine - Hataki mpenzi but anataka mume

25.Grace - Anapendwa na wanaume wengi japo hataki hata mmoja katika hao wengi

26.Anna - Anaishia kwenye sogea tuishi bila ndoa

27.Beatrice - Ana maringo mpaka wanaume wanamuogopa

28.Rehema - Anapenda waume za watu

29.Brenda - Akipenda anapenda kufa

30.Diana - Amezubaa anaweza hata kuibiwa mpenzi wake na anaangalia tu

31.Ruth- Ni msaliti kwenye mahusiano

32.  Jane - Ni mapepe kwa nje lakini akiwa na mpenzi wake ni mpole

32. Rachel - Ni mwepesi kuachana na mwanaume hata kwa kosa dogo tu

33. Neema - Akiachwa mara moja anakata tamaa ya kuolewa

34. Mwende- Hana maamuzi sahihi kwenye mahusiano yake

35. Esther- Anaamini kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi ni dhambi

36. Violet - Mkorofi

37. Sylvia - Mkimya sana awapo na mpenzi wake

38. Christine - Hajali chochote kinachoendelea kwenye mahusiano yake

39. Doreen - Ana aibu sana kwenye mapenzio

40. Purity - Anapenda sana ila anaumizwa sana pia

41. Ebby: Wanapenda sex sana and silent killers

42. Tabby -- hasira na kaujuaji kwa mpenzi "dont cares either udump then nt" ???

43. Susan- hard to handle " wanapenda kubembelezwa"

44. Liz - wanakuanga na heshima kwa wapenzi

45. Angela -visirani kwa jambo dogo

Also read;