Jaymo JJ: Life is very tough they are still chasing the bag
Sospeter Sihonga: Sasa hapa Njugush ndio Kapetit , but tule tuvihereheree
Bevarly Daniela: Njugush killed it slay queen kabisaa..petite.
hopekidhk: Mkurugenzi pia anakaa mamaFua 😂😂😂
godierono: Abel ako na tirries kubwa kuliko za dem wako 😂
Star Vic: Hapa wakiketi chini ni makosaa.
Lilian Charles: Njugush ni dem kabisa hapa.
Sev'z Jimmy Severa: Its not creativity, there is an agenda they are softly pushing.
Ivy Mengesh: Njuguna anakaa mamito are they twins we need to do a DNA.
Kiki-joe Mbugua: Karibu nitumie njugush Hi.
Nellybwoy KE: Njugush ni wale madem God alinyima nyash. Wah
Headmaster MrErick Ke: Enyewe God knew akapea wanawake nyash na wakuwe wanavaa skirt ona njugush vile anakaa. Ukiwa mlevi unaweza pita na yeye na hutajua.
Ukhty Zuu Venus:Njugush ni karembo, anakaa tule tuschana twa nyama ndogo runakuaga na kiherehere na roho mbayaa.
Martin Wafula: Njugush is born for it.
Augustine Bouy: Enyewe Njuguna ni mrembo kuliko manzi wa watu uku inje.
Being Lynne:: Now Njugush looks like sister ya mamito .
Dar Promise Comedian: Njugush angekua dem angekua mcute snaa slay queen.
Jules Gaitho Explores the Seasons of Friendship