Check out fans' reactions;
Justamina01: 😂😂 nahisi alichotaka kumaanisha ni kuwa mwanamke ndio kiumbe kimebarikiwa chini ya ardhi katika uumbaji,……mwanamke ndio hubeba uzao wa viumbe vyote….feminine pia inaonekana kwenye umilikishaji wa vitu ndio mana huwa tunasema maneno kama motherland, Mother Nature, na nchi hutumia kiwakilishi SHE……vitabu vya dini vinasema mwanamke ndio njia ya kuiona pepo iwe mama yako, mkeo au binti yako N.k….nahisi ndio mana amefikia conclusion alioipost ila Bado Mwenyezi Mungu hafanani wala kufananishwa 🥰
Mwijaku: NDUGU YANGU ...! HII SIMU UNAYO WEWE AU UMEHAKIWA TAYARI ? @harmonize_tz MUANDIKO HUU WA NANI ?
Mkaliwenu original: KWAHIYO UNATAKA TUKUBALIANE MUNGU NI MWANAMKE KWELI🤔
Nyonyoma: Huyo mwanamke mwenye shape kama #mfuko wa Gita ndio anakuchanganya mpaka utuitie MUNGU wetu ni mwanamke?
Reehayna: Ka ww Huna akilili vizuri huwezi kuelewa ni nini amekimaanisha shida yenu mnapenda sana kuwaza bila mafikirio ndo maana mnafeli ata shulee hii sio kitu ya kumuona yeye chizi mbona na nyinyi mnaamini mungu ni baba kwanini awe baba
Chengu Lopes: Usifanye masihara na mungu
Imangosha: Kuanzia leo naona hii ya kusema msanii ni kioo cha jamii mi naona bora ingefutwa badala yake kila mtu awe kioo cha jamii kwasababu kila mtu kaumbwa na akili tumamu anauwezo wakuona kipi ni bora na kipi sio bora kipi sawa na kipi sio sawa lakini kwa wasinii wavuta bangi kama kawa kuna kioo cha jamii kweli
Yessjamala: Kanye west njoo umchukue nduguyako uku 😂
Kenyan celebs who are heavily involved in charitable projects