He is not the first artiste to do so. In 2017 Khaligraph Jones arrived on stage on a coffin which had been lifted by eight men.
Check out fans' reactions to Diamond Platnumz's performance;
Hivpositivelinving: Showbiz is absolutely crazy. You only care about publicity whether good or bad it doesn't matter. This performance is similar to what MJ did in the thriller. Lady Gaga too. Kiukweli mwanaetu sijui bongo watamuelewaje baada ya hii performance
Kipenga leo: Hii sasa siyo show ni Halloween party ๐๐
Buddapanther: Kama mnakumbuka vizuri ilikuwa ni wasafi wasafi festival ya 2018 kama sijakoesa @jamal_april aliingia kwenye stage na alikuwa anaelea juu so nia idea flan hivi ambayo inafanana na hivi vitu i think @jamal_april utakuwa unahusika bro kwenye hii intro ya @diamondplatnumz na nategemea kuona ubunifu mkubwa zaidi ya hapa coz wewe ni masterpiece๐๐๐๐
Soudy Brown: Masonic signs ๐ข
DJ Folu: I'm sick of this demonic imagery. It's creepy and disgusting.
Yuaster: Hongera nyingi kwako kwa kuanzisha hizi mambo za kuingia kitofauti stejini pale ramada usiku wa ๐ฅ, hata kama sasa ivi wanakupa mawazo simba ingia hivi ni sawa lakin wewe ndio ulianza wengine wamefata na huo ndio ukweli ulio uchi diamond wewe mungu amekujalia uchapakazi na akili nyingi za kuwaza mbali mwambie mungu asante kwa bahati ya kipekee aliyokupa ๐๐๐๐๐
Flaqo's ex showers his girlfriend with birthday praise