“Maisha yangu ni ya furaha zaidi kuliko vile ningeweza kueleza kwenye umri huu.Nina furaha kwamba nilizaliwa kama mimi YES kama mimi na siyo mtu mwingine. Nimekomaa vya kutosha kutambua kuwa mimi bado mtoto🤪. Najua safari bado ni ndefu ila Mwenyezi MUNGU atanifikisha tena kwa ushindi mkubwa. Ahsante Mungu wangu, Ahsante wazazi wangu.
Heri ya siku ya kuzaliwa kwa toleo bora la mimi mwenyewe. NB: 40 is fine when you look like 29🤪🤪
“Msinilete makasiriko in this post tafadhali,” Fridah Kajala said.
Currently, Marioo is dating Kajala’s daughter Paula Kajala and he recently hinted that they are expecting their first child together.
Paula Kajala also celebrated her mother with a sweet message, remembering all the struggles they have been through and where they are now.
“MAMA yangu, MAMA yangu, MAMA yangu unapofurahia siku yako ya kuzaliwa nataka ufahamu wewe ni moja kati ya Wanawake wanaoshangaza sana hapa duniani, una moyo wa kipekee mnoooo😊. Najiona wa bahati sana kuwa na mama kama wewe❤️. MUNGU alijua akanipa mama na rafiki kwa pamoja
“Ninakupenda zaidi ya ninavyoweza kuweka kwa maneno, daima nakuombea uwe na AMANI, FURAHA, na UPENDO bila kujali vita na vurugu za ulimwengu zilizokuzunguka. Nakupenda zaidi ya kitu kingine chochote kilichowahi kutokea ulimwenguni. Na kama ikitokea tunatakiwa kufa basi naomba nianze mimi maana hakutakuwa na faida ya kubaki duniani bila wewe😩.
Happiest 40th birthday mama Pau❤️🎂 @kajalafrida,” Paula wrote.
Jules Gaitho Explores the Seasons of Friendship