Rayvanny used about Ksh 565,800 for renting the yacht on his baby mama's birthday. Fans have kept pitting Fahyma against Rayvanny's ex girlfriend Paula.
Check out fans' reactions;
Sialofficial: You're doing it too much? Haya unayoyafanya hayaendani na umri wako, you don't have to prove anything to anyone aisee, umeanza kukera sasa, I was a fan.😢
Dahlia Mohamed: Mbona ni ufukweni kuna bot tele zilo pakiwa alafu mbona upo na wapambaj tu mumeo yupo wap ndo huna ata rafiki maana kwanza nicheke 😂😂😂😂 una tumia nguvu nyingi kushindana na paula ila una jikuta ndo una haribu bora unge tulia tu 🤣🤣
Trab and trat: Ndio bwana sio kile kiyatch cha swekeni kimebeba watu 100 😫 mxiiu….. wewe ni next level mrs chuiii
SagimTz: Paula anawapeleka puta mtu na bwanaake😂😂😂 mmeona na nyie mpost baada ya pAu kupost😂😂😂
Misselioty: anza wewe kwanza mana naona una mashindano na mtu ambae hana habari na wewe kaamua kukuachia tulia sasa shida nini dada bwana ndio uyo unae au hujiamini na kazi yako?hamna familia hapo ukitaka kutufunga wambeya midomo olewa dada hizi zingine danganya toto tumezichoka
Neema wa fursa: Nikituliza kichwa naona kama fahyvanny mshindi 😂 😂
Clarah JJulius: Me naona raha🤣🤣🤣kule wanashindanda utajir huku mayatch na photoshoot🤣🤣 kila mtu ashinde mech zake…
Erica257: Who said that she didn't celebrate her birthday?? Go go girl u deserve all the best 😍
Teddytz: We mwanamuke una sifaaa 😂😂😂 yani hilo boti ukaona ulilipie just pekeako ❤️❤️❤️
Lizzypretty: Kwakuvaa hakuna anaekukuta Dunianiii wewe ni no.1 hata uvae gunia la mahindi unapendeza🙌🙌🙌
How Kenya's street food content is thriving on TikTok