Check out some of the reaction comments below
that_sagittarius_segnora: Wewe ukona hizo pesa kwanza ndio angalau ukipata mwenye pesa mtaelewana vizuri π
charlesmuchemi15: Ukitaka mtu ako na gari Sana Sana mtapatana Kwa parking ukiwa na yako.
scrummy_jimmy: Unatufutaje mwanaume akona pesa yet wewe hauna, π
oliverdimo: Shida hatutaki mizigo. Tunataka wasichana warembo... mizigo tunakupeleka warehouse
lauradee_paid: Vijana hawana pesa wanakuanga na makasiriko aki ππππ .....ata shida si wewe swty @prittyvishy you look amazing n ur confidence n hard work will take you places.
stelaouma: Ukipata extra nirushie mmoja Mimi Bora anapumuaπππ pesa tutatumia ya babake.
lauradee_paid: Vijana hawana pesa wanakuanga na makasiriko aki ππππ .....ata shida si wewe swty @prittyvishy you look amazing n ur confidence n hard work will take you places.
Do women have exit plans from their relationships?