As usual, the people of the internet have something to say about that. Here are some of their reactions to the on-stage chemistry.
salmaally894's: Nawapenda Hawa watoto jamani
fortunemosha: Safari hii simba kashikwa
deejaynish_: Simba mla watoto
lababycianta20__: 😢nyie boss anafaidi
ronotashy: ❤️❤️❤️❤️ Waaaaaaw I wish my boss can kamata me like this, Zuchu is blessed, I say😍
lakshmi_thelma: Tulikua tumesahau hekaheka yao ya sijui kudate sijui ndoa na ivi wameanzaa tena😂😂😂😂😂watafika mbinguni hohehahe hawa😂😂😍😍😍
yummylovelyy: Litawachoma sanaaa
marypeter610: Mmmh huo mkumbatio cyo bureee
farouqhabesh1369: Kwa mondi kwa kweli anamkaza huyu demu🔥🔥 wa kizenji so diamond zenji mashemegi zako😂
joy__sarah: Narudia tena uyo ni zuchu si zuhura😂😂..tuelewane tafadhali😂😂
marcelmtotowamfalme: 😂😂😂Mtoto Kabambwa Ki Mahaba Uwiii😂
heisbant_ Kaka: dai si atuachie zuchu wetu jamani mboni mkorofi huyo. Afu zuchu wetu mdogo huyo anamkomaza 😢😢
muhamedsabrina217: Mtasubiri sana😍
How Kenya's street food content is thriving on TikTok