Read some of those comments below:
tetyoo_tornado Mawimbi huja wakati mwingine, yatatulia tu InShaAllah. Hang in broππ
j_mless_ke 150 si ungemwambia akope chenye anataka kwa duka utakuja kulipaπππ
laurine_ash23 Bro si ni life sisi huku nje hatupati ata bobπ’
kenyantrey Kwani kipara ilikuja na pesaππππ
shamsuniminza Wanasema umetuma 150ππππππBila ya kutoa ,
gloria.tunu Ulituma 150 ya unga na kuku na kiberitiπππamatutaombaπ₯π₯π₯
rockie_joe Hawana shukran,lakini usirudie kutuma 150 tena πππ
phil_philips_ Umepata One chuani ya today ?π
thenijah Bro surely 150 πsijafurahi
iamraynor_b Lakini wacha kutuma ka 150 at least fikisha ruabeπππ
officialprincelucky ππ comedy mpaka kwa maisha, Shiti Gππ
jaycbebe Apa napo kitu ungempea ni mimba tu ππ
mercy_george98 N wewe unatuma 150
bosess_moves Shiti 150 a iππ
makasi_muthui Stephen Ndede manze hujafanya fitiπππππ. Mpaka baby mama anakuita mchawi
mombasa.icon._ Mkuu unafanya exactly chenye tuliambiwa men's conference πππ tusitishwe sisiπ
terence_ochuo Sasa kutuma 150 ni kitu ya kukasirikia mtu π
seifertmanando hajarudisha change kwaniππ
_.tebeem._ Enda jibu mashtaka banaππππunatumia aje bibi wako 150 π
Pastor Kanyari: Natural achia misitu!Wear makeup and dress well