Nyota Ndogo

Nyota Ndogo will be at pains to explain to her hubby why Susumila has professed his love for her in a very public way.

The singer has just come from clarifying to her fans that she did not steal her mzungu hubby from the ex-wife.

nyota ndogo with her hubby's ex wife
nyota ndogo with her hubby’s ex wife

“Niwajulishe kitu kimoja.african pekeake ndio Kuna sheria ya kuoa wake hata ishirini ukipenda…ulaya uwezi kuoa mke mwengine mpaka umpe talaka ulienae na talaka ya huku sio mchezo watu wangu.so kama nimeolewa na bwana ya mwenyewe huku hata singekanya ga ningejificha kenya tu.niliweka picha kitambo na mwanamke aliekua mke wa mume wangu yani mama ya watoto wake na nikawaambia alikua mke wake hivi nikiswahili kigumu ama vipi.toka niliweka Ile picha ndio watu wakaanza kusema nimemuibia mtu bwana watu waliwachana miaka ishirini na tano iliopita iweje Leo museme nimeiba bwana.”

‘Nimechoka!’ Nyota Ndogo Reveals Heartbreaking Details About Her Family

Nyota NdogoNyota Ndogo had to explain herself to her fans after she went ham on mpango wa kandos who nyemelea other people’s husbands.

She continued: “post yangu ya jana niliwaombea wanawake wanaotembea na waume za watu but inakaa niwengi kulingana na comment nyingi..wengine wanasema oh wakanyeni waume zenu waache kutongoza nje but kitu hamujui ni sikuizi hata wanawake utongoza waume.so ombi lile lilikua linawaendea wote wawili.pia mujue waume sikuizi wanajua kutongoza kupitia kuwaponda wake zao couse wanajua wanawake wengi uingiana mwanamke akiskia anasifiwa mpaka amemshinda mke.ooh mke wangu vile hivi sijui nini bora apate tu uo uchi.mukiachwa munaanza oh i will tell your wife.ndio waume wengine uamua kuwauwa mipango ya kando yao couse hawataki kuvunjiwa nyumba.”

That said, coast based entertainer Susumila took to social media to declare his love for Nyota Ndogo and how he regrets not making a move woo her.

SusumilaSusumila has two ex-wives and by the look of things, if Nyota Ndogo was not married he would have wifed her too.

Nimemjua Nyota Ndogo tangu anaanza mziki yani kuna kitu huwa najiuliza why sikuwai kumtongoza na nilikua karibu sana nayeye ila nyota nae anasura ya ukali nilimuogopa kweli namuheshimu yule dadaangu sana but sitadanganya kila nikimuona hukumbuka nilipokua nikienda kwake kisimani wakati huo anaishi kwenye store atapika tutakula nitarap anisikize but sikua na mda wa kumtongoza mpaka Leo najiuliza why,kila mtu anatabia yake nzuri na mbaya ila nahisi nyota ningempata tungeishi mpaka leo, I LOVE YOU Nyota Ndogo but nimeishia kukulove kama dada..Atleast NIMETOA YA MOYONI#TAIRENI.”

Kifo Hakina Huruma! Nyota Ndogo Is In Mourning The Death Of The Man Who Discovered Her

Fans of both artistes reacted. Check out some of their comments

Jumaa Mwamvula: Hahahaaa susu bado iko time mpige mistari atakukubali tu

Mnyamwez Apiko Magufuli: Dah mwanangu haukujiamini kulingamana na hali yako, juu ulijidharau na kujishusha aadhi kuwa ukuwa level yake. Ila naonelea ww ungelitoa nyuni, kama angelikutosa usingelikuwa na dhambi hata mbele ya sir jah. Ila wasi wasi wako limekuja kuwa jibu lako.
Iko love bado susu

Joel Okello: Yule mzee alikushinda kwa game

Nezlyn Sergiovanni: Hahahahaha Susumila Yusuf mpigie remix ya mtoto wa mtaa naamini atajileta mwenyewe 😂😂

Read more about celebrities and their divorces

MPASHO TV