Diamond Platnumz

Diamond Platnumz has asked for forgiveness on live recording. The singer has done this after his explicit videos of him and Hamisa Mobetto in bed went viral.

The African Beauty hit maker was arrested and held by police for showing what the Tanzanian government has termed as immoral on social media.

Talking to the media, Diamond has termed his acts as indecent.

“Nimekuja hapa kuelewa matumizi ya mitandao, especially content ambayo inapelekwa online. Mimi ni kijana ambaye kwenye mitandao anaongoza kwa followers kwa numbers nyingi sana na anafuatiliwa na vijana….Wakati mwingine pengine wanaiga ninachokifanya, pengine wanaendesha platforms zao kupitia ninachokifanya.”

He adds he has learnt that social media is not his ‘bedroom’ pointing out that he is the king of drama.

“Vijana wengi wanaamini kwamba mitandao ni kama chumba, kumbe ni kama hadhara….Tunajua wasanii wana drama zao ila kanuni zimebadilika. Mimi ni miongoni mwa mabingwa wa kiki.Najua drama ninzo kila siku.Lakini sasa tunazieka vipi?”

He concluded by asking fans to forgive his acts on the leaked video.

“Kuna clip ambazo zilikuepo, zinanihusu na kiukweli hazikua nzuri. Kwa mtu ambaye zilimkwaza, tuvumiliane, tusameheane. Ujana ni maji ya moto.”

Diamond Platnumz

Here is a compilation of Diamond’s lewd videos:

Diamond Platnumz getting cozy with Hamisa Mobeto and one of his video vixens

Diamond Platnumz getting cozy with Hamisa Mobetto Official and one of his video vixens

Posted by Mpasho News on Monday, April 16, 2018

Diamond’s brother caught cheating, apologizes to wife

Diamond did this alongside Nandy, another Tanzanian artiste arrested alongside him after her nude video went viral.

she wrote:

“kiukweli niko katika wakati mgumu wa maisha yangu.. jana sikuwa sawa ila leo nimeweza hata shika simu yangu najuaa matusi yote na fedhea kutoka kwa mashabiki wangu ni sababu wanaamini hili ni kusudio letu au langu hii video iwe public naapa na naumia sana sana kwa hili lilitokea!!! sihusiki na kusambaza video wala siwezi ruhusu kitu kama hichi kitokee kwenye maisha yangu ya usanii hata ya kawaida! Sitakiwi kujieleza sana ila naamini nikiandika hili nitakaa na amani kwa ambaye ataamuaa kuendelea kuni hukumu aendelee tu kunihukumu kwani kweli nimekosea ila ajiulize kama yeye hajawahi kukosea! Mambo yetu wote ya private yanatakiwa kubaki private, aliyeyatoa amefanikiwa kuleta hii taharuki, sintofahamu na maumivu makubwa ambayo sijawahi kupata maishani mwangu. ilaa Naamini sababu kuu ya hii video kuwa out ni mambo ya simu zetu ambayo inaweza kumtokea mtu yoyote!! nilibadili simu yangu mara 2 toka 2016 na bilnas aliibiiwa simu yake huko nyuma, kwa mujibu wake, so hatujui mpaka sasa imetoka kwa simu ya nani? maswali ni mengi matusi ni mengi simu na sms ni nyingi mnoo… naumiaa naumiaa kupita kiasi. Kanisaa langu, wazazi wangu, ndugu zangu, marafiki zangu wa karibu wameliaa sana sanaa mnoo!!! sikatai nimerecord video na nilikuwa kwenye mahusiano na nilifanya kwa mapenz ila siwez weka public, Mungu anisamehe kwa niliyowakwaza. nimepoteza watu wa maana nahisi ku poteza vitu vingi ilaa nashukuru sana kwa watu wangu wa karibu waliolia na mimi mashabiki wanaoniamini Mimi na dhamira yangu ya kweli, marafiki walio liaa kwa ajili yangu nawashukuru sana mnoo yote naomba radhi sana sanakwa kilicho tokea haikuwa kusudio langu na naumiaa sana!!! asante sana basata kwa ushirikiano wenu kwakuwa na mm na kunipa moyo hii ni fundisho kwa wote nimejifunza kitu kikubwa sana!! mashabiki, kabisa langu, serikali yangu viongozi wenye imani na mimi, mashabiki zangu, ndugu jamaa na marafiki. naomba Nisameheni naamini na hili nalo litapita. Sitaongea tena kwenye vyombo vya habari kuhusu hili namwachia Mungu, pale roho yangu itakapopata wepesi tutaonana tena kwenye Sanaa. Naomba mniombee nipate wepesi wa kuvuka hili daraja.🙏🏼”

MPASHO TV