Congratulations: Harmonize's ex-girlfriend Wolper welcomes a bouncing baby boy

Piece by: Elizabeth Ngigi
Lifestyle

Harmonize's ex-girlfriend Jacqueline Wolper has welcomed a bouncing baby boy.

Wolper shared the good news on her Instagram stating that she is happy to be a mother.

Wolper is currently dating stylist Rich Mitindo, a popular fashion designer and businessman in Tanzania.

The two rekindled their love after Wolper broke up with Harmonize few years ago.

Tulianza kuibana 2016..Nikamkosea saana Tukaachana lakn ukuwah nichukia..😒Tukawa marafk wazuri sana kwa ushauri wa biashara nk ..But baada ya maumivu Mengi ya mahusiano, kwenye Maonyesho ya sabasaba Tukakutana Tena kwenye Biashara zetu wote Tukiwa singo 2020 ,Tukaishi kwa upendo Tukafanikiwa 🤰Kwa upendo usioelezeka ,Naomba heshima unayonipa Na upendo unaonipa hudumu Milele Na Milele

Najua unajua Nakuheshim Na Nakupenda kiasi gani hilo Halina ubishi wala Mpinzani..Basi Tumeshakua ndugu siyo wapenzi Tuu Amini kwamba Nitakuheshim Milele Ata iweje wewe Ndio Mwanaume uliyenipa Furaha ya Milele yakunifanya jina jacq kubadilika Nakuwa Mama wa fulani siyo jambo Dogo japo kwa Mungu ni Dogo ila kwangu Ni kubwa Nakupongeza sana kidume wangu wa Mbegu wa alali kabisa 🙏

Niseme tu asante mungu kwa hii zawadi (ni kubwa na inadhihirisha uku wako)

Nina mengi ya kusema ila shukurani ndo naona neno nzuri.. nakupenda.

wako wa moyoni Mama P 😍❤️💯 @richmitindo @richmitindo ❤️💯.

On the other hand, Rich Mitindo wrote;

Sijuii nieleze vip Furaha yangu, Ila ni wakati mzuri na sitausahau kamwe kwenye maisha yangu.. jamaniii katika maisha yangu sijawahi kuwa na furaha na upendo kamili Kama ilivyokuwa wakati huu niseme nakupenda kuliko chochote katika ulimwengu huu, ilikuwa ndoto yangu kuwa na familia na sasa inatimia, kwa hili nitashukuru milele Nakupenda Jacq wangu na nitampenda mwanangu sana sababu umembeba mwanangu ndani yako, nakuhahid nitakuwa baba bora mwaminifu kwako na mwenye upendo , na nitakuwepo na nyie milele 🙏 @wolperstylish