Kenyan Sponsors vs Mafisi

Kenyans are savage when it comes to responses especially when you borrow money from them.

Their responses can leave one hospitalized for a week in the ICU if you’re not strong enough or leaves you in stitches.

Also read:

‘Ngojea 5 minutes naenda MPesa,’ annoying excuses given by Kenyans who owe you money

Well, Kenyans were asked this question: Si unisave na 2k nitakurudishia kesho..and their responses were hilarious whereas some were savage.

Below are the responses, go through:

Mushshady: Sawa leta number.

Marvinmj: Nime uninstall MPeSa tu saa ii!

onenainadavid: Kuna 70k nasubiri, ikikam ntakushow. Kaa rada

nguo_zuri: Acha nishuke mat in a few

victorsadera: Waaah ata mimi nadai hio 2k ndio nimalizane na landlord

jaysam_music: Eih joh! Buda nikunoma. Hata Mimi nimewai punch Kwa mshwari Tu sai sai!

lizstym: Niko nazo cash na hakuna Mpesa karibu huku…

thekenyanpoet: Waaah iza bro, nilidelete App ya Mpesa

Wanjikugod: Nimekopeshwa sahii sahii Tu..

jaysam_music: Kuna uradi flani nategea imakm thru but 50/50, sitakupromise but just incase ntakurushia.

kennonken: Manze i wish ungenisho mapema kiasi coz nimetumia tu sahi… 😂😂😂

denice: We unasema nini! Me ata lunch sjakula, ukiniomba naona unanipima…hii serikali skuizi jo

erastus_owuor: Umesema late sana. Ni leo tu nimebuy hii kitu ya 2k

pantopatra: Ayaayaa imagine nisha sort Msee already

Also read:

‘He used to fight a lot with Jacque Maribe,’ Businessman who gave Jowie a gun narrates

neshemmie: Ungesema mapema ….nimekua na doo nikatumia mathe

jayne_nimo: Wah aki siezi make nalipa installment ya loan yangu leo

christinemumprude: Sahii sina lakini nikipata Baadaye nitakushtua

nerimasendeyo: Nangoja Jowi atoke jail ako na deni yangu

great_nixini: wacha nione kama iko,and off I go.

hillary_kiyanily: si ungeniuliza jana jioni aki, nmesave tu arif wa mine like two hours ago

jackybproducer: Sina lakini kuna kitu nangoja mahali, ikiingiana nitakuskumia😂😂

johnmwangijohn: Bado sijalipwa

liliankays: Ngaiii mwezi iko mbaya, sjapata hata salary ka ingekua end month ningekusave

djlonezke: Bado hatujalipwa hadi sahii

Also read:

‘I’m not your sugar mummy!’ Noti Flow savagely attacks boyfriend who borrowed money from her (Screenshots)

lizzy_kayila: Wawawa ungenisho Jana… Nlikua nazo nkaspend saa hii nmesota… Lakini nkipata mazuri ntakushtua

ms_munge: Waah Aki ATA nimetumia mathe 3k nimebaki na 200 mpesa

martinmuthoka Nitalipwa hii wiki

victor_avisa: ATM yangu ime expire but ntaona vile tutafanya

aruks: hata mi sina Ume.try mswari,tala,branch ama.Timiza

loftymatambo: Ngoja tu kesho itafika

mercie: Na ukikufa ??

samir_bin_noor: Haki io kiswahili yko umeniandikia ni ngumu sielewi… siezi soma… na usinipigie niko kwa meeting 🤣🤣🤣🤣.

erick: Ntakupea kesho.

giddy_arap_soi Ngoja ifike kesho upate yako.

ngugibenjamin: Manze Jo iza pia Mimi Niko down na nilikuwa nathink pia kama unaeza nisave na 2K
amytangerine😂😂

chichijoy: Siongeniambia jana aki..nimekopesha mtu tu saa hii

collo_kibe: Nakusort kesho please😂😂

mundear: Aaah wish uli-request mapema, nimetumia like 30 minutes ago.

Ladybee Kuna msee natime anisendie ntakushtua but aki ugesema mapema

lynah_eves: Aki sina na mshwari yangu naweza pewa tu 400 tho nko na loan ya last time aki.

noah_kori: Ntakupa 2k na uridishe ikiwa thao tatu.

Pendo: Maybe kama unaeza ngoja hadi next week. Kuna doo nategea.

joanjojo: Kuna doh na expect nikijengwa nitakusort.

ark__leo: Ungenishow jana,nimespend doo nilikua nayo jana.

guyamartin: Gava’ walishuku me ni Nephew wa Obado, wame freeze ka mpesa kangu..Iza mzae😢

elishablaxx: Kwani mi ni mca.

brenda_jumah:  Ungeniomba jana.

klyfz: Kuna zingine zangu nangojea zikikam ntakutmia.

anitasheri: Niko na cash na mpesa haziko karibu ntasend kesho.

victorinyongjones: 16 percent effect.

shelimo: Unakumbuka ile 5k ya last year? Kata hio 2k hapo

MPASHO TV