'Anakuja Hapa Kuturingia...' Popular Singer Heartbroken After She Overhears Her Neighbour Curse Her Out Badly

Piece by: Grace Kerongo
Lifestyle

In life you will never please everyone.

Yaani kuna watu na viatu, I tell you.

A popular musician is in tears when she overheard a neigbour bad mouth her and curse her out badly yet she considered this neigbour - an elderly woman - as someone she could even call 'Mom'.

The disturbed star who is based in Mombasa is also known for hie hit single Watu Na Viatu narrated in tears how this woman spoke 'evilness galore' about her life.

Nyota ndogo said, "Niwape story yangu hii hasubui..kuna mama nilikua nikienda kumsalimia mama lazima nipite kwakwe ndio niende kwa mama. Nilikua nikimpata mlango kwakwe nampa shikamoo mammy anajibu marhabaa ujambo? Najibu sijambo ananiuliza wanao hawajambo namjibu hawana neno wote wazima. Kisha naenda kwamama.

sasa siku moja natoka sasa kwa mama naelekea kwa gari langu mama ananisindikiza kupita nikampata tena yule mama nikiwa na maangu nikamuaga haya mama mimi naenda akasema wasalimie uko uwendapo. mamaangu akanipeleka mpaka kwa gari kumbe nyuma nilikua nimesahau kitu kwa mamaangu dadangu akawa ananiletea kabla niondoke. alipokua anafika sehemu karibu na kwa yule mama akamsikia yule mama akisema hivi.......ANAKUJA HAPA NA HILO GARI LAKE KUTURINGIA ALILONUNULIWA NA HUYO..............

mtajaza BADO AFANYWE NYUMA. my sister ilimuuma akajua vile naenda mbali angoje nifike aniambie.aliniambia nililia sana kwa uchungu.nikamuuliza MUNGU hivi mbona uliumba watu wengine wawe na tabia za kiajabu hivi? Nikamuuliza MUNGU mbona huyu mama na ninavyomueshimu aongee hivyo? Iliniuma mwezi mzima nikasema yani MUNGU ungekua unapanish mtu tukiona tungepata nafuu wengine.ok mimi mwenyewe nakuaga na machozi ya karibu sana kitu kikiniuma ulia sana mimi ndio uchungu uishee.mara ya mwisho kua mombasa niliambiwa huyo mama alipata ajali mbaya hawezi kutembea anafanya kila kitu hapo hapo.nilisema MUNGU kama ni machozi yangu nakuomba nisamehe na singependa kitu kimtokee mwanadamu yoyote kibaya.but niliamini.MUNGU ukiongea nae kiukweli anasikiza.but hatuombi mabaya...............tuchunge midomo yetu ni sumu.usikubali mtu atoe machozi kwaajili ya wewe kumuumiza MY STORY TRUE STORY.couse MUNGU analipa

The neigbour will eat her heart out once Nyota completes the house she is building for her mother.

Here are the construction site photos of the house.