Elizabeth Micheal Lulu, a Tanzanian actress who was once Bahati’s crush is finally free. The bongo star was jailed for manslaughter over the death of former boyfriend and actor Steven Kanumba.

In  May 14th this year, Lulu was put on probation and has been serving the rest of her prison term at home. After being released, Lulu was tasked with cleaning the Tanzanian Interior Ministry building.

Elizabeth Lulu Micheal
Elizabeth Lulu Micheal

One of her best friends shared a long post of gratitude as she was officially set free.

Sina la kusema @elizabethmichaelofficial zaid ya kumshukuru Mungu na kumwambia Mungu Asantee Kwa hili jambo kuisha salama Unajuwa jinsi gani lilituumiza kichwa ila Watanzania wenye mapenzi mema na wewe walikuombea kila Saa kila dakika. Sasa wakati mwengine unaenda kuanza Maisha upya na mapya Karibu uraian tuje kupambana wote na imani Mungu anaenda kukutendea Miujiza mikubwa katika Maisha yako.

Mwanzo tuliona Ni Muda Kama hauwendi kumbe kila kitu ukimwachia Mungu siku zinakimbia kuliko kweli Mungu Ni mwema natumai @elizabethmichaelofficial umemuona Mungu ajakuacha nikuombe Nawe usimwache MUNGU.

Nichukuwe Nafasi ya kuwashukuru wote mliokuwa nasi kwenye kipindi muhimu na kigumu najuwa mlimuombea Kwa kila mtu na imani yake basi msiache kumuombea niwashukuru hata wale ambao hawakuweza kuwa Karibu nasi Ila naiman mlituombea Muda mwingi nikushukuru sana tena sana baba mkwe Mtarajiwa @majizzo we mtu unaroho ya kipekee sana mtu akikutazama Kwa nje anaweza asipate jibu Ila moyo wako Ni wakipekee sana nimejifunza kitu kutoka kwako.
na nahisi ninamaneno mengi sana Ila la Mwisho kwako @majizzo nikukumbushe tu au nisisitize ile Pete isiwe Mwisho wa safari yenu naomba taratibu za mwisho ziendelee haraka japo najuwa kwako hilo halina tatizo ili Ndoa ipite sasa…….. dogo sasa yupo Huru.

lulu

Hamisa atalilia kwa choo! Baby daddy proposes to actress Elizabeth Micheal

MPASHO TV