50 Popular matatu slogans that never go out of style

Piece by: Grace Kerongo
Exclusives

The matatu culture in Kenya is very vibrant.

Beside the colorful graffiti emblazoned on the matatu bodies, the public mode of transport also treats it's passengers to witty and funny slogans, stickers and saying posted on the matatu.

They are most times lit AF.

Here are 50 very popular slogans you will read when you ride in a matatu.

  1. Vumilia Kama mke wa mlevi.
  2. Mask ni nje ndani covid18 free?
  3. Dere acha wapande tuende tuwagongeshe kwa post ya stima
  4. Okoa muda,ujinga ndio sitaki!!
  5. Leo tunaenda matanga
  6. Uzito wa ferry hautishi bahari
  7. The idiot is behind you
  8. Ndege ya chini
  9. Old is gold young is waste.
  10. Nikifa bibi yagu asiolewe.
  11. Hii lorry haitaki hasira😊😁
  12. Ukidhani umeamka cc tumekesha
  13. Niliona ingine imeandikwa mke wa mtu sumu na mume wa mtu maziwa🤣🤣
  14. Mkanye mwanao gari si langu
  15. Tako nzuri n la kuku juu n kitoeo
  16. Panda na kiatu shuka na madam.
  17. You Hire The Lawyer I Buy The Judge Cheza Na Rika Yako.
  18. Kuachwa na Dem mpenda pesa n sawa na kumaliza mkopo bank
  19. Gusa unyongwe.
  20. Wali moto mchuzi moto.
  21. Dera jipya chupi ya zamani
  22. Lift na mimba zote tunapeana.
  23. We repair broken eggs
  24. Ata ukue na gari millioni choo utaenda mguu
  25. Heri ukule Karo ya shule kuliko Karo wa shule
  26. Ukipenda chips usiogope mimba
  27. Waacha kutuma pesa kwa dem lipa nyumba kwanza
  28. Mkanye mkeo gari si langu
  29. Japo condom ni mpira mechi zake hazionyeshwi live
  30. Hata ukiringa aje tutameet kwa choo
  31. Kutupa takataka ni soo na kutapika rwabe lakini kunyamba ni bure
  32. Virgin master
  33. Ukitaka mke mwenye tabia kama yako oa dada yako.
  34. Inzi akiacha kiherere anaweza tengeneza asali
  35. Jino moja mswaki wa nini?
  36. Kusoma si kazi, kazi ni kutafta kazi😂😂
  37. Heshimu nazi maembe ni ya msimu
  38. Kama uko n haraka toka ukimbie😂😂
  39. Heri ndugu mjinga kuliko rafiki mwerevu
  40. Kitambi na mimba ni bidii ya mtu
  41. Punda ijai enda shule na ijai kosa kazi
  42. Eti gari haina,abiria umekuja na wangapy
  43. Goodbye corona
  44. Ugali sio tamu ni haina ya mboga
  45. Ukihisi joto enda bebwa na fridge
  46. Heshimu kitambi mimba Ni ya msimu
  47. Hata simba na ukali wake,hupachikwa mimba...
  48. Heshimu nazi maembe ni ya msimu
  49. Leo tunaenda matanga
  50. Jaribu airbag yako hapa tuone kama biguni ni karibu.